Mwanadada wa kibongo ambye ni wa kwanza bongo kua na kipaji cha ajabu
cha kusakata soka kuliko njembaz, hivi karibuni aliwaondoa wanaume
gugumizi pale walipo mtaka athibitishe kama kweli yeye ni balaa kwa
kuuzungusha mpira atakavyo huku akiwa amevalia khanga. Amini usiamini
hivi ndivyo alivyo fanya kweli.